bible.software › Yeremia › Yeremia 52 › Yeremia 52:32
Yeremia 52:32
Alizungumza naye kwa upole na kumpa kiti cha heshima zaidi kuliko wale wafalme wengine aliokuwa nao huko Babeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And spake kindly unto him, and set his throne above the throne of the kings that were with him in Babylon,
In Context
31Katika mwaka wa thelathini na saba tangu Yehoyakini mfalme wa Yuda apelekwe uhamishoni, katika mwaka ule ambao Evil-Merodaki + 52:31 Pia aliitwa Ameli-Mariduki. alifanyika mfalme wa Babeli, alimwacha huru Yehoyakini mfalme wa Yuda, na kumfungua kutoka gerezani siku ya ishirini na tano ya mwezi wa kumi na mbili.
33Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya mfungwa, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme.
Read all of Yeremia 52
Cross References
Proverbs 12:25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu, 2 bali neno la huruma humfurahisha. 1
Daniel 2:37Ee mfalme, wewe ni mfalme wa wafalme. Mungu wa mbinguni amekupa wewe utawala, uweza, nguvu na utukufu.
This Verse In Other Editions
Study Yeremia 52:32