Proverbs 12:25
Moyo wa wasiwasi humlemea mtu, 2 bali neno la huruma humfurahisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Heaviness in the heart of man maketh it stoop: but a good word maketh it glad.
In Context
24Mikono yenye bidii itatawala, 2 bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 1
26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, 2 bali njia ya waovu huwapotosha. 1
Cross References
Psalms 38:6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, 2 mchana kutwa nazunguka nikiomboleza. 1
Proverbs 12:18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, 2 bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 1
Proverbs 15:13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, 2 bali maumivu ya moyoni huponda roho. 1
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Proverbs 16:24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, 2 ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 1
Proverbs 18:14Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa 2 bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? 1