The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 6 › Yeremia 6:7

Yeremia 6:7

Kama vile kisima kinavyomwaga maji yake, 2 ndivyo anavyomwaga uovu wake. 1 Ukatili na maangamizi yasikika ndani yake, 2 ugonjwa wake na majeraha yake viko mbele yangu daima. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As a fountain casteth out her waters, so she casteth out her wickedness: violence and spoil is heard in her; before me continually is grief and wounds.

In Context

6Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Kateni miti mjenge boma 2 kuzunguka Yerusalemu. 1 Mji huu ni lazima uadhibiwe, 2 umejazwa na uonevu. 1

8Pokea onyo, ee Yerusalemu, 2 la sivyo nitageukia mbali nawe 1 na kuifanya nchi yako kuwa ukiwa, 2 asiweze mtu kuishi ndani yake.”

Read all of Yeremia 6

Cross References

Psalms 55:9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu 2 na uwachanganyishie semi zao, 2 maana nimeona jeuri na ugomvi mjini. 1

Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1

Isaiah 59:6Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; 2 hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. 1 Matendo yao ni matendo maovu, 2 vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao. 1

Jeremiah 20:8Kila ninenapo, ninapiga kelele 2 nikitangaza ukatili na uharibifu. 1 Kwa hiyo neno la Bwana limeniletea matukano 2 na mashutumu mchana kutwa. 1

Jeremiah 30:15Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako, 2 yale maumivu yako yasiyoponyeka? 1 Kwa sababu ya uovu wako mkubwa na dhambi zako nyingi 2 nimekufanyia mambo haya. 1

Ezekiel 7:23“Andaa minyororo, kwa sababu nchi imejaa umwagaji wa damu na mji umejaa udhalimu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 6:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 6:6Yeremia 6Yeremia 6:8 →