The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 6 › Yeremia 6:9

Yeremia 6:9

Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Wao na wayakusanye mabaki ya Israeli 2 kwa uangalifu kama kwenye mzabibu; 1 pitisha mkono wako kwenye matawi tena, 2 kama yeye avunaye zabibu.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD of hosts, They shall throughly glean the remnant of Israel as a vine: turn back thine hand as a grapegatherer into the baskets.

In Context

8Pokea onyo, ee Yerusalemu, 2 la sivyo nitageukia mbali nawe 1 na kuifanya nchi yako kuwa ukiwa, 2 asiweze mtu kuishi ndani yake.”

10Niseme na nani na kumpa onyo? 2 Ni nani atakayenisikiliza mimi? 1 Masikio yao yameziba, + 6:10 Masikio yameziba kwa Kiebrania ina maana kwamba masikio yao hayajatahiriwa. 2 kwa hiyo hawawezi kusikia. 1 Neno la Bwana ni chukizo kwao, 2 hawalifurahii. 1

Read all of Yeremia 6

Cross References

Jeremiah 49:9Je, kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 wasingebakiza zabibu chache? 1 Kama wezi wangekujia usiku, 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1

Obadiah 1:5“Ikiwa wevi wangekuja kwako, 2 ikiwa wanyangʼanyi wangekujia usiku: 1 Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea: 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1 Kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 je, wasingebakiza zabibu chache? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 6:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 6:8Yeremia 6Yeremia 6:10 →