The Bible Software
bible.softwareObadiaObadia 1 › Obadia 1:5

Obadia 1:5

“Ikiwa wevi wangekuja kwako, 2 ikiwa wanyangʼanyi wangekujia usiku: 1 Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea: 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1 Kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 je, wasingebakiza zabibu chache? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If thieves came to thee, if robbers by night, (how art thou cut off!) would they not have stolen till they had enough? if the grapegatherers came to thee, would they not leave some grapes?

In Context

4Ingawa unapaa juu kama tai 2 na kufanya kiota chako kati ya nyota, 2 nitakushusha chini kutoka huko,” 4 asema Bwana. 1

6Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, 2 jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! 1

Read all of Obadia 1

Cross References

Deuteronomy 24:21Unapochuma zabibu katika shamba lako la mizabibu usirudie tena. Acha zinazobaki kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane.

Isaiah 14:12Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, 2 ewe nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! 1 Umetupwa chini duniani, 2 wewe uliyepata kuangusha mataifa! 1

Isaiah 24:13Ndivyo itakavyokuwa duniani 2 na miongoni mwa mataifa, 1 kama vile wakati mzeituni upigwavyo, 2 au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa. 1

Jeremiah 49:9Je, kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 wasingebakiza zabibu chache? 1 Kama wezi wangekujia usiku, 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1

Lamentations 1:1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1

Zephaniah 2:15Huu ndio mji uliotukuka na kuishi kwa furaha 2 wakijisikia salama. 1 Ulisema moyoni mwako, 2 “Mimi ndimi, na wala hapana mwingine ila mimi.” 1 Jinsi gani umekuwa gofu, 2 mahali pa kulala wanyama pori! 1 Wote wanaopita kando yake wanauzomea 2 na kutikisa mkono kwa dharau.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Obadia 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Obadia 1:4Obadia 1Obadia 1:6 →