bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:9
Yeremia 49:9
Je, kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 wasingebakiza zabibu chache? 1 Kama wezi wangekujia usiku, 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If grapegatherers come to thee, would they not leave some gleaning grapes? if thieves by night, they will destroy till they have enough.
In Context
8Geuka na ukimbie, jifiche katika mapango marefu kabisa, 2 wewe uishiye Dedani, 1 kwa kuwa nitaleta maafa juu ya Esau 2 wakati nitakapomwadhibu. 1
10Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi, 2 nitayafunua maficho yake, 2 ili asiweze kujificha. 1 Watoto wake, jamaa na majirani wataangamia, 2 naye hatakuwepo tena. 1
Read all of Yeremia 49
Cross References
Isaiah 17:6Hata hivyo baadhi ya masazo yatabaki, 2 kama vile mti wa mzeituni unavyopigwa, 1 kukiachwa zeituni mbili au tatu juu ya matawi kileleni, 2 nne au tano katika matawi yazaayo sana,” 4 asema Bwana, Mungu wa Israeli. 1
This Verse In Other Editions
Study Yeremia 49:9