The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 7 › Yeremia 7:19

Yeremia 7:19

Lakini je, mimi ndiye wanayenikasirisha? asema Bwana. Je, hawajiumizi wenyewe na kujiaibisha?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Do they provoke me to anger? saith the LORD: do they not provoke themselves to the confusion of their own faces?

In Context

18Watoto wanakusanya kuni, baba zao wanawasha moto, na wanawake wanakanda unga na kuoka mikate kwa ajili ya Malkia wa Mbinguni. Wanamimina sadaka za vinywaji kwa miungu mingine ili kunikasirisha.

20“ ‘Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenyezi: Hasira yangu na ghadhabu yangu itamwagwa mahali hapa, juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na juu ya matunda ya ardhini, nayo itaungua pasipo kuzimwa.

Read all of Yeremia 7

Cross References

Deuteronomy 32:16Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni, 2 na kumkasirisha kwa sanamu zao 2 za machukizo. 1

Ezra 9:7Tokea siku za babu zetu mpaka sasa, hatia yetu imekuwa kubwa. Kwa sababu ya dhambi zetu, sisi na wafalme wetu na makuhani wetu tumekabiliwa na vita, utumwa, kutekwa na kudhiliwa katika mikono ya wafalme wa kigeni, kama ilivyo leo.

Isaiah 1:20lakini kama mkikataa na kuasi, 2 mtaangamizwa kwa upanga.” 4 Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 1

Isaiah 45:16Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; 2 wataenda kutahayarika pamoja. 1

Jeremiah 2:19Uovu wako utakuadhibu; 2 kurudi nyuma kwako kutakukemea. 1 Basi kumbuka, utambue 2 jinsi lilivyo ovu na chungu kwako 1 unapomwacha Bwana Mungu wako 2 na kutokuwa na hofu yangu,” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Jeremiah 9:19Sauti ya kuomboleza imesikika kutoka Sayuni: 2 ‘Tazama jinsi tulivyoangamizwa! 2 Tazama jinsi aibu yetu ilivyo kubwa! 1 Ni lazima tuihame nchi yetu 2 kwa sababu nyumba zetu zimekuwa magofu.’ ” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 7:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 7:18Yeremia 7Yeremia 7:20 →