Yeremia 7:20
“ ‘Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenyezi: Hasira yangu na ghadhabu yangu itamwagwa mahali hapa, juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na juu ya matunda ya ardhini, nayo itaungua pasipo kuzimwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Lakini je, mimi ndiye wanayenikasirisha? asema Bwana. Je, hawajiumizi wenyewe na kujiaibisha?
Cross References
Leviticus 26:28ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Isaiah 42:25Hivyo akawamwagia hasira yake inayowaka, 2 ukali wa vita. 1 Iliwazunguka kwa miali ya moto, lakini hata hivyo hawakuelewa; 2 iliwateketeza, lakini hawakuyatia moyoni.
Jeremiah 4:23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1
Jeremiah 12:4Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1
Jeremiah 17:4Kwa kosa lako mwenyewe utaupoteza 2 urithi niliokupa. 1 Nitakufanya mtumwa wa adui zako 2 katika nchi usiyoijua, 1 kwa kuwa umeiwasha hasira yangu, 2 nayo itawaka milele.”
Jeremiah 42:18Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Kama vile hasira yangu na ghadhabu yangu ilivyomwagwa juu ya wale walioishi Yerusalemu, ndivyo ghadhabu yangu itakavyomwagwa juu yenu mtakapokwenda Misri. Mtakuwa kitu cha kulaania na cha kutisha, cha kulaumia na cha kushutumia, nanyi kamwe hamtaona mahali hapa tena.’