The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:16

Kumbukumbu 32:16

Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni, 2 na kumkasirisha kwa sanamu zao 2 za machukizo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They provoked him to jealousy with strange gods, with abominations provoked they him to anger.

In Context

15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1

17Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: 2 miungu wasiyoijua, 2 miungu iliyojitokeza siku za karibuni, 2 miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Leviticus 18:27kwa kuwa mambo haya yote yalifanywa na watu walioishi katika nchi hii kabla yenu, na nchi ikawa najisi.

Deuteronomy 7:25Vinyago vya miungu yao mtavichoma moto. Msitamani fedha wala dhahabu iliyo juu yao, wala msizichukue kwa ajili yenu, la sivyo mtakuwa mmetekwa navyo. Kwa kuwa ni chukizo kwa Bwana Mungu wenu.

1 Kings 14:22Yuda wakatenda maovu machoni pa Bwana. Kwa dhambi walizotenda wakachochea hasira yake yenye wivu zaidi kuliko baba zao walivyofanya.

2 Kings 17:17Wakawatoa kafara wana wao na mabinti zao katika moto. Wakafanya uaguzi na uchawi, nao wakajiuza wenyewe katika kutenda uovu machoni pa Bwana, wakamghadhibisha.

2 Kings 23:13Mfalme pia akanajisi mahali pa juu pa kuabudia miungu, palipokuwa mashariki ya Yerusalemu upande wa kusini wa Kilima cha Uharibifu, pale ambapo Solomoni mfalme wa Israeli alikuwa amejenga kwa ajili ya Ashtorethi mungu mke chukizo la Wasidoni, kwa ajili ya Kemoshi mungu chukizo la Wamoabu, na kwa ajili ya Moleki mungu chukizo la watu wa Amoni.

Jeremiah 2:11Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote? 2 (Hata ingawa hao si miungu kamwe.) 1 Lakini watu wangu wamebadili Utukufu wao 2 kwa sanamu zisizofaa kitu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:15Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:17 →