Jeremiah 7:21
“ ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Endeleeni, ongezeni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya dhabihu zenu nyingine, mle nyama hiyo wenyewe!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 50:8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, 2 au sadaka zako za kuteketezwa, 2 ambazo daima ziko mbele zangu. 1
Jeremiah 6:20Unanifaa nini uvumba kutoka Sheba, 2 au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? 1 Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, 2 dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”
Amos 5:21“Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini; 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu. 1