The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 7 › Yeremia 7:22

Yeremia 7:22

Kwa kuwa nilipowaleta baba zenu kutoka Misri na kusema nao, sikuwapa amri kuhusu sadaka za kuteketezwa na dhabihu tu,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I spake not unto your fathers, nor commanded them in the day that I brought them out of the land of Egypt, concerning burnt offerings or sacrifices:

In Context

21“ ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Endeleeni, ongezeni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya dhabihu zenu nyingine, mle nyama hiyo wenyewe!

23lakini niliwapa amri hii nikisema: Nitiini mimi, nami nitakuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu. Enendeni katika njia zote ninazowaamuru ili mpate kufanikiwa.

Read all of Yeremia 7

Cross References

Psalms 40:6Dhabihu na sadaka hukuvitaka, 2 lakini umefungua masikio yangu; + 40:6 Au: bali mwili uliniandalia. 1 sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi 2 hukuzihitaji. 1

Psalms 51:16Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, 2 hufurahii sadaka za kuteketezwa. 1

Matthew 9:13Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ‘Nataka rehema, wala si dhabihu.’ Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Marko 2:18-22; Luka 5:33-39)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 7:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 7:21Yeremia 7Yeremia 7:23 →