The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 7 › Yeremia 7:5

Yeremia 7:5

Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu, mkatendeana haki kila mmoja na mwenzake,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For if ye throughly amend your ways and your doings; if ye throughly execute judgment between a man and his neighbour;

In Context

4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”

6kama msipomwonea mgeni, yatima wala mjane, na kumwaga damu isiyo na hatia mahali hapa, nanyi kama msipofuata miungu mingine kwa madhara yenu wenyewe,

Read all of Yeremia 7

Cross References

Judges 21:12Wakakuta kati ya watu walioishi Yabeshi-Gileadi wanawali mia nne ambao hawajakutana kimwili na mwanaume, nao wakawachukua kwenye kambi huko Shilo katika nchi ya Kanaani.

Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1

Jeremiah 4:1“Ikiwa utataka kurudi, ee Israeli, 2 nirudie mimi,” 4 asema Bwana. 1 “Ikiwa utaondoa sanamu zako za kuchukiza mbele ya macho yangu 2 na usiendelee kutangatanga, 1

Jeremiah 22:3Hili ndilo Bwana asemalo: Tenda haki na adili. Mwokoe mkononi mwa mdhalimu yeye aliyetekwa nyara. Usimtendee mabaya wala ukatili mgeni, yatima au mjane, wala usimwage damu isiyo na hatia mahali hapa.

Ezekiel 18:8Hakopeshi kwa riba 2 wala hajipatii faida ya ziada. 1 Huuzuia mkono wake usifanye mabaya, 2 naye huhukumu kwa haki kati ya mtu na mtu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 7:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 7:4Yeremia 7Yeremia 7:6 →