Yeremia 7:6
kama msipomwonea mgeni, yatima wala mjane, na kumwaga damu isiyo na hatia mahali hapa, nanyi kama msipofuata miungu mingine kwa madhara yenu wenyewe,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Kama kweli mkibadili njia zenu na matendo yenu, mkatendeana haki kila mmoja na mwenzake,
7ndipo nitawaacha mkae mahali hapa, katika nchi niliyowapa baba zenu milele na milele.
Cross References
Exodus 22:21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.
Deuteronomy 6:14Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka;
Deuteronomy 11:28laana kama hamtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.
Deuteronomy 27:19“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
2 Kings 24:4ikiwa ni pamoja na kumwaga damu isiyo na hatia. Kwa kuwa aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia, naye Bwana hakuwa radhi kusamehe.
Psalms 82:3Teteeni wanyonge na yatima, 2 tunzeni haki za maskini na walioonewa. 1