The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 8 › Jeremiah 8:13

Jeremiah 8:13

“ ‘Nitayaondoa mavuno yao, 4 asema Bwana. 2 Hapatakuwepo zabibu kwenye mzabibu. 1 Hapatakuwepo na tini kwenye mtini, 2 majani yake yatanyauka. 1 Kile nilichowapa 2 watanyangʼanywa.’ ” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will surely consume them, saith the LORD: there shall be no grapes on the vine, nor figs on the fig tree, and the leaf shall fade; and the things that I have given them shall pass away from them.

In Context

12Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno? 2 Hapana, hawana aibu hata kidogo, 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini watakapoadhibiwa, 4 asema Bwana. 1

14“Kwa nini tunaketi hapa? 2 Kusanyikeni pamoja! 1 Tukimbilie kwenye miji yenye maboma, 2 tukaangamie huko! 1 Kwa kuwa Bwana, Mungu wetu 2 ametuhukumu kuangamia, 1 na kutupa maji yenye sumu tunywe, 2 kwa sababu tumemtenda dhambi. 1

Read all of Jeremiah 8

Cross References

Deuteronomy 28:39Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila.

Isaiah 5:4Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa shamba langu la mizabibu 2 kuliko yale niliyofanya? 1 Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, 2 kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu? 1

Isaiah 24:21Katika siku ile Bwana ataadhibu 2 nguvu zilizoko mbinguni juu, 2 na wafalme walioko duniani chini. 1

Jeremiah 14:15Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo kuhusu manabii wanaotabiri kwa jina langu: Mimi sikuwatuma, lakini wanasema, ‘Hakuna upanga wala njaa itakayoigusa nchi hii.’ Manabii hao hao watakufa kwa upanga na njaa.

Ezekiel 22:19Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa kuwa wote mmekuwa takataka ya chuma, nitawakusanya Yerusalemu.

Ezekiel 24:3Iambie nyumba hii ya kuasi fumbo, na uwaambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Teleka sufuria jikoni; iteleke 2 na umimine maji ndani yake, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 8:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 8:12Jeremiah 8Jeremiah 8:14 →