The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 8 › Yeremia 8:18

Yeremia 8:18

Ee Mfariji wangu katika huzuni, 2 moyo wangu umezimia ndani yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When I would comfort myself against sorrow, my heart is faint in me.

In Context

17“Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu, 2 fira ambao hawawezi kulogwa, 2 nao watawauma,” 4 asema Bwana. 1

19Sikia kilio cha watu wangu 2 kutoka nchi ya mbali: 1 “Je, Bwana hayuko Sayuni? 2 Je, Mfalme wake hayuko tena huko?” 1 “Kwa nini wamenikasirisha kwa vinyago vyao, 2 kwa sanamu zao za kigeni zisizofaa?” 1

Read all of Yeremia 8

Cross References

Isaiah 22:4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1

Jeremiah 6:24Tumesikia taarifa zao, 2 nayo mikono yetu imelegea. 1 Uchungu umetushika, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Lamentations 1:16“Hii ndiyo sababu ninalia 2 na macho yangu yanafurika machozi. 1 Hakuna yeyote aliye karibu kunifariji, 2 hakuna yeyote wa kuhuisha roho yangu. 1 Watoto wangu ni wakiwa 2 kwa sababu adui ameshinda.” 1

Daniel 10:16Ndipo mmoja aliyeonekana kama mwanadamu akanigusa midomo yangu, nami nikafungua kinywa changu, nikaanza kunena. Nikamwambia yule aliyesimama mbele yangu, “Nimepatwa na huzuni kubwa kwa sababu ya maono haya, bwana wangu, nami nimeishiwa nguvu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 8:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 8:17Yeremia 8Yeremia 8:19 →