The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 1 › Maombolezo 1:16

Maombolezo 1:16

“Hii ndiyo sababu ninalia 2 na macho yangu yanafurika machozi. 1 Hakuna yeyote aliye karibu kunifariji, 2 hakuna yeyote wa kuhuisha roho yangu. 1 Watoto wangu ni wakiwa 2 kwa sababu adui ameshinda.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For these things I weep; mine eye, mine eye runneth down with water, because the comforter that should relieve my soul is far from me: my children are desolate, because the enemy prevailed.

In Context

15“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita 2 wote walio kati yangu, 1 ameagiza jeshi dhidi yangu 2 kuwaponda vijana wangu wa kiume. 1 Katika shinikizo lake la divai Bwana amemkanyaga 2 Bikira Binti Yuda. 1

17Sayuni ananyoosha mikono yake, 2 lakini hakuna yeyote wa kumfariji. 1 Bwana ametoa amri kwa ajili ya Yakobo 2 kwamba majirani zake wawe adui zake; 2 Yerusalemu umekuwa 2 kitu najisi miongoni mwao. 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Psalms 106:42Adui zao wakawaonea 2 na kuwatia chini ya mamlaka yao. 1

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

Jeremiah 9:1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji 2 na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! 1 Ningelia usiku na mchana 2 kwa kuuawa kwa watu wangu. 1

Jeremiah 9:21Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, 2 imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; 1 imewakatilia mbali watoto katika barabara 2 na vijana waume kutoka viwanja vya miji.

Jeremiah 14:17“Nena nao neno hili: 1 “ ‘Macho yangu na yatiririkwe na machozi 2 usiku na mchana bila kukoma; 1 kwa kuwa binti yangu aliye bikira, yaani watu wangu, 2 amepata jeraha baya, 2 pigo la kuangamiza. 1

Lamentations 1:2Kwa uchungu, hulia sana usiku, 2 machozi yapo kwenye mashavu yake. 1 Miongoni mwa wapenzi wake wote 2 hakuna yeyote wa kumfariji. 1 Rafiki zake wote wamemsaliti, 2 wamekuwa adui zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:15Maombolezo 1Maombolezo 1:17 →