Yeremia 8:4
“Waambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “ ‘Je, watu wanapoanguka hawainuki? 2 Je, mtu anapopotea harudi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 8:38wakati dua au maombi yatakapofanywa na mmojawapo wa watu wako Israeli, kila mmoja akitambua taabu za moyo wake mwenyewe, naye akainyoosha mikono yake kuelekea Hekalu hili:
Isaiah 44:22Nimeyafuta makosa yako kama wingu, 2 dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. 1 Nirudie mimi, 2 kwa kuwa nimekukomboa wewe.” 1
Jeremiah 3:1“Kama mtu akimpa talaka mkewe, 2 naye akamwacha na akaolewa na mtu mwingine, 1 je, huyo mume aweza kumrudia tena? 2 Je, hiyo nchi haitanajisika kabisa? 1 Lakini umeishi kama kahaba na wapenzi wengi: 2 je, sasa utanirudia tena?” 4 asema Bwana. 1
Jeremiah 4:1“Ikiwa utataka kurudi, ee Israeli, 2 nirudie mimi,” 4 asema Bwana. 1 “Ikiwa utaondoa sanamu zako za kuchukiza mbele ya macho yangu 2 na usiendelee kutangatanga, 1
Jeremiah 36:3Labda watu wa Yuda watakaposikia juu ya kila maafa ninayokusudia kuwapiga nayo, kila mmoja wao atageuka kutoka njia zake mbaya, kisha nitasamehe uovu wao na dhambi yao.”
Hosea 6:1“Njooni, tumrudie Bwana. 1 Ameturarua vipande vipande 2 lakini atatuponya; 1 ametujeruhi lakini 2 atatufunga majeraha yetu. 1