Yeremia 8:5
Kwa nini basi watu hawa walipotea? 2 Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara? 1 Wanangʼangʼania udanganyifu 2 na wanakataa kurudi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 1:20lakini kama mkikataa na kuasi, 2 mtaangamizwa kwa upanga.” 4 Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 1
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Jeremiah 3:5je, utakasirika siku zote? 2 Je, ghadhabu yako itaendelea milele?’ 1 Hivi ndivyo unavyozungumza, 2 lakini unafanya maovu yote uwezayo.” 1 Wito Kwa Ajili Ya Toba
Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1
Jeremiah 6:17Niliweka walinzi juu yenu na kusema, 2 ‘Sikieni sauti ya tarumbeta!’ 2 Lakini mkasema, ‘Hatutasikiliza.’ 1
Jeremiah 7:24Lakini hawakusikiliza wala kujali. Badala yake, walifuata ukaidi wa mioyo yao miovu. Walirudi nyuma badala ya kusonga mbele.