Yeremia 8:8
“ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara 2 kwa sababu tunayo sheria ya Bwana,” 1 wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi 2 imeandika kwa udanganyifu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 11:12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, 2 endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. 1
Psalms 147:19Amemfunulia Yakobo neno lake, 2 sheria zake na maagizo yake kwa Israeli. 1
Isaiah 10:1Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, 2 kwa wale watoao amri za kuonea, 1
Jeremiah 2:8Makuhani hawakuuliza, 2 ‘Yuko wapi Bwana?’ 1 Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; 2 viongozi waliasi dhidi yangu. 1 Manabii walitabiri kwa jina la Baali, 2 wakifuata sanamu zisizofaa. 1
Hosea 8:12Nimeandika kwa ajili yao mambo mengi 2 kuhusu sheria yangu, 1 lakini wameziangalia 2 kama kitu cha kigeni. 1
John 9:41Yesu akawajibu, “Kama mngekuwa vipofu kweli, msingekuwa na hatia ya dhambi, lakini kwa kuwa mnasema, ‘Tunaona,’ basi mna hatia.