The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:3

Isaiah 59:3

Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For your hands are defiled with blood, and your fingers with iniquity; your lips have spoken lies, your tongue hath muttered perverseness.

In Context

2Lakini maovu yenu yamewatenga 2 ninyi na Mungu wenu, 1 dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, 2 ili asisikie. 1

4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki; 2 hakuna hata mmoja anayetetea shauri lake kwa haki. 1 Wanategemea mabishano matupu na kusema uongo, 2 huchukua mimba ya magomvi na kuzaa uovu. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2

Jeremiah 2:30“Nimeadhibu watu wako bure tu, 2 hawakujirekebisha. 1 Upanga wako umewala manabii wako 2 kama simba mwenye njaa.

Jeremiah 7:8Lakini tazama, mnatumainia maneno ya udanganyifu yasiyo na maana.

Jeremiah 9:3“Huweka tayari ndimi zao kama upinde, 2 ili kurusha uongo; 1 wamekuwa na nguvu katika nchi 2 lakini si katika ukweli. 1 Wanatoka dhambi moja hadi nyingine, 2 hawanitambui mimi,” 4 asema Bwana. 1

Jeremiah 22:17“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu 2 katika mapato ya udhalimu, 1 kwa kumwaga damu isiyo na hatia, 2 kwa uonevu na ukatili.”

Ezekiel 9:9Bwana akanijibu, “Dhambi ya nyumba ya Israeli na Yuda imekuwa kubwa mno kupita kiasi, nchi imejaa umwagaji damu na mjini kumejaa udhalimu. Kwani wamesema, ‘ Bwana ameiacha nchi, Bwana hauoni.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:2Isaiah 59Isaiah 59:4 →