Yeremia 9:3
“Huweka tayari ndimi zao kama upinde, 2 ili kurusha uongo; 1 wamekuwa na nguvu katika nchi 2 lakini si katika ukweli. 1 Wanatoka dhambi moja hadi nyingine, 2 hawanitambui mimi,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 2:10Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli.
1 Samuel 2:12Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu Bwana.
Psalms 64:3Wananoa ndimi zao kama panga 2 na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 1
Proverbs 12:5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, 2 bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 1
Isaiah 59:3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1
Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1