The Bible Software
bible.softwareJobJob 1 › Job 1:21

Job 1:21

na kusema: 1 “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, 2 nami nitaondoka uchi, + 1:21 Au: nitarudi huko uchi. 1 Bwana alinipa, naye Bwana ameviondoa, 2 jina la Bwana litukuzwe.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And said, Naked came I out of my mother’s womb, and naked shall I return thither: the LORD gave, and the LORD hath taken away; blessed be the name of the LORD.

In Context

20Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu

22Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.

Read all of Job 1

Cross References

Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”

Genesis 45:5Sasa, msihuzunike wala msijichukie wenyewe kwa kuniuza huku, kwa sababu ilikuwa ni ili kuokoa maisha ya watu ndiyo sababu Mungu alinituma niwatangulie ninyi.

1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1

2 Samuel 16:12Inawezekana kwamba Bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”

2 Kings 20:19Hezekia akamjibu Isaya, “Neno la Bwana ulilosema ni jema.” Kwa kuwa alifikiri, “Lakini si patakuwa na amani na usalama wakati wa uhai wangu?”

Job 1:11Lakini nyoosha mkono wako na kupiga kila kitu alicho nacho, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 1:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 1:20Job 1Job 1:22 →