bible.software › Ayubu › Ayubu 1 › Ayubu 1:4
Ayubu 1:4
Wanawe walikuwa na desturi ya kufanya karamu katika nyumba zao kwa zamu, nao wangewaalika umbu zao watatu ili kula na kunywa pamoja nao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his sons went and feasted in their houses, every one his day; and sent and called for their three sisters to eat and to drink with them.
In Context
3naye alikuwa na kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia tano za maksai, na punda mia tano, tena alikuwa na idadi kubwa ya watumishi. Alikuwa mtu mkuu sana miongoni mwa watu wa Mashariki.
5Wakati kipindi cha karamu kilimalizika, Ayubu angetuma waitwe na kuwafanyia utakaso. Angetoa dhabihu ya sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya kila mmoja wao asubuhi na mapema, akifikiri, “Pengine wanangu wametenda dhambi na kumlaani Mungu mioyoni mwao.” Hii ilikuwa ndiyo desturi ya kawaida ya Ayubu. 1 Jaribu La Kwanza La Ayubu
Read all of Ayubu 1
Cross References
Hebrews 13:1Endeleeni kupendana kama ndugu.
This Verse In Other Editions
Study Ayubu 1:4