Job 10:2
Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will say unto God, Do not condemn me; shew me wherefore thou contendest with me.
In Context
Cross References
Job 8:5Lakini ukimtafuta Mungu, 2 nawe ukamsihi Mwenyezi, 1
Job 13:23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? 2 Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 1
Job 33:13Kwa nini unamlalamikia 2 kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 1
Psalms 6:1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, 2 wala usiniadhibu katika ghadhabu yako. 1
Psalms 27:7Isikie sauti yangu nikuitapo, Ee Bwana, 2 unihurumie na unijibu. 1
Psalms 109:21Lakini wewe, Ee Bwana Mwenyezi, 2 unitendee wema kwa ajili ya jina lako, 2 uniokoe kwa wema wa pendo lako. 1