Job 13:23
Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? 2 Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How many are mine iniquities and sins? make me to know my transgression and my sin.
In Context
22Niite kwenye shauri nami nitajibu, 2 au niache niseme, nawe upate kujibu. 1
24Kwa nini kuuficha uso wako 2 na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 1
Cross References
Job 6:24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; 2 nionyesheni nilikokosea. 1
Job 10:6ili kwamba utafute makosa yangu 2 na kuichunguza dhambi yangu; 1
Job 36:8Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, 2 wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso, 1
Psalms 139:23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, 2 nijaribu na ujue mawazo yangu. 1