Ayubu 11:7
“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Canst thou by searching find out God? canst thou find out the Almighty unto perfection?
In Context
Cross References
Job 5:9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, 2 miujiza isiyoweza kuhesabika. 1
Job 27:11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; 2 njia za Mwenyezi sitazificha. 1
Job 37:23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; 2 katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea. 1
Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1
Psalms 145:3Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, 2 ukuu wake haupimiki. 1
Ecclesiastes 3:11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua kwa kina yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho.