The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 12 › Ayubu 12:25

Ayubu 12:25

Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; 2 huwafanya wapepesuke kama walevi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They grope in the dark without light, and he maketh them to stagger like a drunken man.

In Context

24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; 2 huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 1

Read all of Ayubu 12

Cross References

Deuteronomy 28:29Wakati wa adhuhuri utapapasapapasa huku na huko kama mtu kipofu katika giza. Hutafanikiwa katika lolote ufanyalo; siku baada ya siku utaonewa na kunyangʼanywa, wala hakuna yeyote atakayekuokoa.

Psalms 107:27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, 2 ujanja wao ukafikia ukomo. 1

Isaiah 24:20Dunia inapepesuka kama mlevi, 2 inayumbayumba kama kibanda kwenye upepo; 1 imelemewa sana na mzigo wa hatia ya uasi wake 2 na ikianguka kamwe haitainuka tena. 1

Acts 13:11Nawe sasa sikiliza, mkono wa Bwana u dhidi yako. Utakuwa kipofu, wala hutaona jua kwa muda.” Mara ukungu na giza vikamfunika, naye akaenda huku na huko akitafuta mtu wa kumshika mkono ili amwonyeshe njia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 12:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 12:24Ayubu 12