Ayubu 12:24
Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; 2 huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza; 2 hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya. 1
25Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; 2 huwafanya wapepesuke kama walevi.
Cross References
Job 17:4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, 2 kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 1
Psalms 107:4Baadhi yao walitangatanga jangwani, 2 hawakuona njia ya kuwafikisha mji ambao wangeweza kuishi. 1
Isaiah 6:9Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1
Daniel 4:12Majani yake yalikuwa ya kupendeza, matunda yake yalikuwa mengi, na juu yake kulikuwa na chakula kwa ajili ya wote. Chini ya kivuli chake wanyama wa kondeni walipata hifadhi, na ndege wa angani waliishi katika matawi yake. Kila kiumbe kililishwa kutokana na mti huo.
Daniel 4:16Akili yake na ibadilishwe kutoka ile ya mwanadamu na apewe akili ya mnyama, mpaka nyakati saba zipite juu yake.
Hosea 7:11“Efraimu ni kama hua, 2 hudanganywa kwa urahisi na hana akili: 1 mara anaita Misri, 2 mara anageukia Ashuru. 1