Job 13:10
Hakika angewakemea 2 kama mkiwapendelea watu kwa siri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He will surely reprove you, if ye do secretly accept persons.
In Context
11Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi? 2 Je, hofu yake isingewaangukia ninyi? 1
Cross References
2 Chronicles 19:7Basi sasa hofu ya Bwana na iwe juu yenu. Hukumuni kwa uangalifu, kwa kuwa kwa Bwana Mungu wetu hakuna jambo lisilo la haki, upendeleo, wala rushwa.”
Psalms 50:21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, 2 ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. 1 Lakini nitakukemea 2 na kuweka mashtaka mbele yako. 1
James 2:9Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji.