Job 13:2
Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; 2 mimi si mtu duni kuliko ninyi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What ye know, the same do I know also: I am not inferior unto you.
In Context
1“Macho yangu yameona hili lote, 2 masikio yangu yamesikia na kulielewa. 1
3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi 2 na kuhojiana shauri langu na Mungu. 1
Cross References
Job 15:8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? 2 Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 1
Job 34:35‘Ayubu huongea bila maarifa; 2 maneno yake hayana busara.’ 1
Job 37:2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, 2 sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 1
Job 42:7Baada ya Bwana kusema mambo haya yote na Ayubu, akamwambia Elifazi Mtemani, “Nina hasira juu yako na juu ya rafiki zako wawili, kwa sababu hamkusema yaliyo sawa kwa habari yangu, kama alivyosema mtumishi wangu Ayubu.
2 Corinthians 11:4Kwa sababu kama mtu akija na kuwahubiria Yesu mwingine ambaye si yule tuliyemhubiri, au kama mkipokea roho mwingine ambaye si yule mliyempokea, au Injili tofauti na ile mliyoikubali, ninyi mnaitii kwa urahisi.
2 Corinthians 12:11Nimekuwa mjinga, lakini ninyi mmenilazimisha niwe hivyo. Kwa kuwa ilinipasa kusifiwa na ninyi, kwa sababu mimi si dhalili kuliko wale “mitume walio bora,” ingawa mimi si kitu.