The Bible Software
bible.softwareJobJob 37 › Job 37:2

Job 37:2

Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, 2 sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear attentively the noise of his voice, and the sound that goeth out of his mouth.

In Context

1“Kwa hili moyo wangu unatetemeka, 2 nao unaruka kutoka mahali pake. 1

3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote 2 na kuupeleka hata miisho ya dunia. 1

Read all of Job 37

Cross References

Exodus 19:16Asubuhi ya siku ya tatu kulikuwa na ngurumo na radi pamoja na wingu nene juu ya mlima na mlio mkubwa sana wa tarumbeta. Kila mmoja aliyekuwa kambini akatetemeka.

Job 36:29Ni nani ajuaye jinsi ayatandazavyo mawingu, 2 jinsi angurumavyo kutoka hemani mwake. 1

Job 37:5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; 2 yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu. 1

Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1

Psalms 104:7Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia, 2 kwa sauti ya radi yako yakatoroka, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 37:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 37:1Job 37Job 37:3 →