Job 13:3
Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi 2 na kuhojiana shauri langu na Mungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Surely I would speak to the Almighty, and I desire to reason with God.
In Context
2Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; 2 mimi si mtu duni kuliko ninyi. 1
4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; 2 ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 1
Cross References
Job 9:14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye? 2 Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye? 1
Job 11:5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, 2 kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 1
Job 13:22Niite kwenye shauri nami nitajibu, 2 au niache niseme, nawe upate kujibu. 1
Job 23:4Ningeliweka shauri langu mbele zake, 2 na kukijaza kinywa changu na hoja. 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Jeremiah 12:1Wewe daima u mwenye haki, Ee Bwana, 2 niletapo mashtaka mbele yako. 1 Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: 2 Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? 1 Kwa nini wasio waaminifu 2 wote wanaishi kwa raha? 1