Job 13:20
“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, 2 nami sitajificha uso wako: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Only do not two things unto me: then will I not hide myself from thee.
In Context
19Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? 2 Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife. 1
21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1
Cross References
Genesis 3:8Ndipo yule mwanaume na mkewe, waliposikia sauti ya Bwana Mungu alipokuwa akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka mbele za Bwana Mungu katikati ya miti ya bustani.
Psalms 139:12hata giza halitakuwa giza kwako, 2 usiku utangʼaa kama mchana, 2 kwa kuwa giza ni kama nuru kwako. 1