The Bible Software
bible.softwareJobJob 13 › Job 13:19

Job 13:19

Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? 2 Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who is he that will plead with me? for now, if I hold my tongue, I shall give up the ghost.

In Context

18Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, 2 ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki. 1

20“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, 2 nami sitajificha uso wako: 1

Read all of Job 13

Cross References

Job 10:8“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. 2 Je, sasa utageuka na kuniangamiza? 1

Job 19:5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, 2 na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, 1

Job 33:32Kama unalo lolote la kusema, unijibu; 2 sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia. 1

Isaiah 50:8Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu. 1 Ni nani basi atakayeleta mashtaka dhidi yangu? 2 Tukabiliane uso kwa uso! 1 Mshtaki wangu ni nani? 2 Ni nani aliye mshtaki wangu? 1

Jeremiah 20:9Lakini kama nikisema, “Sitamtaja 2 wala kusema tena kwa jina lake,” 1 neno lake linawaka ndani ya moyo wangu kama moto, 2 moto uliofungwa ndani ya mifupa yangu. 1 Nimechoka sana kwa kulizuia ndani mwangu; 2 kweli, siwezi kujizuia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 13:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 13:18Job 13Job 13:20 →