Job 13:8
Mtamwonyesha upendeleo? 2 Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will ye accept his person? will ye contend for God?
In Context
7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? 2 Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 1
Cross References
Exodus 23:2“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu,
Job 32:21Sitampendelea mtu yeyote, 2 wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 1
Proverbs 24:23Hii pia ni misemo ya wenye hekima: 1 Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 1