Job 13:7
Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? 2 Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will ye speak wickedly for God? and talk deceitfully for him?
In Context
6Sikieni sasa hoja yangu; 2 sikilizeni kusihi kwangu. 1
8Mtamwonyesha upendeleo? 2 Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? 1
Cross References
2 Kings 10:18Kisha Yehu akawaleta watu wote pamoja na kuwaambia, “Ahabu alimtumikia Baali kidogo. Lakini Yehu atamtumikia zaidi.
Job 11:2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? 2 Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 1
Job 27:4midomo yangu haitanena uovu, 2 wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu. 1
Job 36:4Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; 2 mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe. 1
Romans 3:5Ikiwa uovu wetu unathibitisha haki ya Mungu waziwazi, tuseme nini basi? Je, Mungu kuileta ghadhabu yake juu yetu ni kwamba yeye si mwenye haki? (Nanena kibinadamu.)