Proverbs 24:23
Hii pia ni misemo ya wenye hekima: 1 Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These things also belong to the wise. It is not good to have respect of persons in judgment.
In Context
24Yeyote amwambiaye mwenye hatia, 2 “Wewe huna hatia,” 1 Kabila zitamlaani 2 na mataifa yatamkana. 1
Cross References
Leviticus 19:15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Deuteronomy 16:19Msipotoshe haki wala msifanye upendeleo. Msikubali rushwa kwa sababu rushwa hupofusha macho ya wenye busara na kugeuza maneno ya wenye haki.
Psalms 82:2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1
Proverbs 1:6kwa kufahamu mithali na mifano, 2 misemo na vitendawili vya wenye hekima. 1
Proverbs 22:17Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, 2 elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, 1
Ecclesiastes 8:1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? 1 Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? 2 Hekima hungʼarisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake. 1 Mtii Mfalme