The Bible Software
bible.softwareJobJob 14 › Job 14:13

Job 14:13

“Laiti kama ungenificha kaburini, + 14:13 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 na kunisitiri hadi hasira yako ipite! 1 Laiti ungeniwekea wakati, 2 na kisha ukanikumbuka! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Oh that thou wouldest hide me in the grave, that thou wouldest keep me secret, until thy wrath be past, that thou wouldest appoint me a set time, and remember me!

In Context

12ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke; 2 hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena, 1 wanadamu hawataamka au kuamshwa 2 kutoka kwenye usingizi wao. 1

14Je, kama mtu akifa, aweza kuishi tena? 2 Siku zote za kazi zangu ngumu 2 nitangojea kufanywa upya kwangu. 1

Read all of Job 14

Cross References

Exodus 12:23Bwana apitapo katika nchi yote kuwapiga Wamisri, ataiona damu juu ya vizingiti na kwenye miimo ya milango, naye atapita juu, wala hatamruhusu mwangamizi kuingia katika nyumba zenu na kuwapiga ninyi.

Psalms 106:4Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, 2 uwe msaada wangu unapowaokoa, 1

Isaiah 26:20Nendeni, watu wangu, ingieni vyumbani mwenu 2 na mfunge milango nyuma yenu, 1 jificheni kwa kitambo kidogo 2 mpaka ghadhabu yake ipite. 1

Mark 13:32“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.

Acts 1:7Yesu akawaambia, “Si juu yenu kujua nyakati na majira ambayo Baba ameyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 14:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 14:12Job 14Job 14:14 →