Mark 13:32
“Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Jihadharini! Kesheni! Kwa maana hamjui wakati ule utakapowadia.
Cross References
Matthew 24:36“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Matthew 25:13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 1 Mfano Wa Watumishi Watatu Na Talanta (Luka 19:11-27)
Mark 13:26“Ndipo watu wote watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu nyingi na utukufu.
1 Thessalonians 5:1Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,
Revelation 1:1Ufunuo wa Yesu Kristo aliopewa na Mungu ili awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo ni lazima yatukie hivi karibuni. Alijulisha mambo haya kwa kumtuma malaika wake kwa Yohana mtumishi wake,