Ayubu 14:12
ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke; 2 hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena, 1 wanadamu hawataamka au kuamshwa 2 kutoka kwenye usingizi wao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Kama vile maji yatowekavyo katika bahari, 2 au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, 1
Cross References
Job 3:13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. 2 Ningekuwa nimelala na kupumzika 1
Job 7:21Kwa nini husamehi makosa yangu 2 na kuachilia dhambi zangu? 1 Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini; 2 nawe utanitafuta, wala sitakuwepo.”
Job 19:25Ninajua kwamba Mkombozi + 19:25 Au: Mtetezi. wangu yu hai, 2 naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. 1
Psalms 102:26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, 2 zote zitachakaa kama vazi. 1 Utazibadilisha kama nguo 2 nazo zitaondoshwa. 1
Ecclesiastes 11:8Hata kama mtu ataishi miaka mingi kiasi gani, 2 na aifurahie yote. 1 Lakini na akumbuke siku za giza, 2 kwa maana zitakuwa nyingi. 2 Kila kitu kitakachokuja ni ubatili. 1
Isaiah 26:19Lakini wafu wenu wataishi, 2 nayo miili yao itafufuka. 1 Ninyi mnaokaa katika mavumbi, 2 amkeni mkapige kelele kwa furaha. 1 Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, 2 dunia itawazaa wafu wake. 1