Ayubu 14:22
Yeye hasikii kingine isipokuwa maumivu ya mwili wake mwenyewe, 2 naye huomboleza kwa ajili yake mwenyewe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But his flesh upon him shall have pain, and his soul within him shall mourn.
In Context
21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; 2 kama wakidharauliwa, yeye haoni. 1
Cross References
Job 19:22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo? 2 Hamtosheki kamwe na mwili wangu? 1
Job 33:19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, 2 kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 1
Luke 16:23Kule kuzimu alipokuwa akiteseka, alitazama juu, akamwona Abrahamu kwa mbali, naye Lazaro alikuwa karibu yake.