Job 14:21
Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu; 2 kama wakidharauliwa, yeye haoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka; 2 waibadilisha sura yake na kumwondoa. 1
Cross References
1 Samuel 4:20Alipokuwa akifa, wanawake waliokuwa wanamhudumia wakamwambia, “Usikate tamaa, umemzaa mwana.” Lakini hakujibu wala kuweka maanani.
Psalms 39:6Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1
Ecclesiastes 9:5Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, 2 lakini wafu hawajui chochote, 1 hawana tuzo zaidi, 2 hata kumbukumbu yao imesahaulika. 1
Isaiah 63:16Lakini wewe ni Baba yetu, 2 ingawa Abrahamu hatufahamu sisi 2 wala Israeli hatutambui; 1 wewe, Ee Bwana, ndiwe Baba yetu, 2 Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako. 1