Ayubu 33:19
Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, 2 kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is chastened also with pain upon his bed, and the multitude of his bones with strong pain:
In Context
18kuiokoa nafsi yake na shimo, 2 uhai wake usiangamizwe kwa upanga. 1
Cross References
2 Chronicles 16:10Asa akamkasirikia mwonaji kwa sababu ya jambo hili. Alikuwa ameghadhibika sana hata akamweka gerezani. Wakati huo huo Asa akaanza kuwatesa na kuwaonea baadhi ya watu kwa ukatili.
Job 5:17“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; 2 kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi. + 5:17 Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania Shaddai (hapa na kila mahali katika kitabu hiki cha Ayubu). 1
Job 20:11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, 2 zitalala naye mavumbini. 1
Job 30:17Usiku mifupa yangu inachoma; 2 maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 1
Psalms 38:4Maovu yangu yamenifunika 2 kama mzigo usiochukulika. 1
Psalms 119:67Kabla sijapata shida nilipotea njia, 2 lakini sasa ninalitii neno lako. 1