Ayubu 14:5
Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka; 2 umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake 2 na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? 2 Hakuna awezaye! 1
6Hivyo angalia mbali umwache, 2 hadi awe amekamilisha muda wake 2 kama mtu aliyeajiriwa. 1
Cross References
Job 7:1“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? 2 Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? 1
Job 14:14Je, kama mtu akifa, aweza kuishi tena? 2 Siku zote za kazi zangu ngumu 2 nitangojea kufanywa upya kwangu. 1
Job 21:21Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma, 2 miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho? 1
Psalms 39:4“Ee Bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu 2 na hesabu ya siku zangu; 1 nijalie kujua jinsi maisha yangu 2 yanavyopita upesi. 1
Psalms 104:29Unapoficha uso wako, 2 wanapata hofu, 1 unapoondoa pumzi yao, 2 wanakufa na kurudi mavumbini. 1
Ecclesiastes 8:8Hakuna mwanadamu 2 awezaye kushikilia roho yake asife, 1 wala hakuna mwenye uwezo 2 juu ya siku ya kufa kwake. 1 Kama vile hakuna yeyote arudishwaye nyuma wakati wa vita, 2 kadhalika uovu hautawaweka huru wale wautendao.