Ayubu 7:1
“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? 2 Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 25:50Yeye na huyo aliyemnunua watahesabu muda kuanzia mwaka aliojiuza hadi Mwaka wa Yubile. Mahali pa kuanzia bei ya kuachiwa kwake itakadiriwa kwa ujira unaolipwa mfanyakazi aliyeajiriwa kwa idadi ya hiyo miaka.
Job 5:7Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, 2 kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu. 1
Job 14:6Hivyo angalia mbali umwache, 2 hadi awe amekamilisha muda wake 2 kama mtu aliyeajiriwa. 1
Psalms 39:4“Ee Bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu 2 na hesabu ya siku zangu; 1 nijalie kujua jinsi maisha yangu 2 yanavyopita upesi. 1
Isaiah 16:14Lakini sasa Bwana anasema: “Katika miaka mitatu, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, fahari ya Moabu na watu wake wengi watadharauliwa, nao walionusurika watakuwa wachache sana, tena wanyonge.”
Isaiah 38:5“Nenda ukamwambie Hezekia, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako. Nitakuongezea miaka kumi na mitano katika maisha yako.