Ayubu 9:16
Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, 2 siamini kama angenisikiliza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu; 2 ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie. 1
17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba 2 na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 1
Cross References
Exodus 6:9Mose akawaarifu Waisraeli jambo hili, lakini hawakumsikiliza kwa sababu ya maumivu makuu ya moyoni na utumwa wa kikatili.
Job 29:24Walipokata tamaa niliwaonyesha uso wa furaha; 2 nuru ya uso wangu ilikuwa ya thamani kwao. 1
Psalms 66:18Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, 2 Bwana asingekuwa amenisikiliza; 1
Psalms 126:1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni, 2 tulikuwa kama watu walioota ndoto. 1
Acts 12:14Alipoitambua sauti ya Petro, alifurahi mno akarudi bila kufungua na kuwaeleza kwamba, “Petro yuko langoni!”