Ayubu 15:28
ataishi katika miji ya magofu, 2 na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, 2 nyumba zinazokuwa vifusi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene 2 na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa, 1
29Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, 2 wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi. 1
Cross References
Job 3:14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, 2 waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 1
Isaiah 5:8Ole wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba 2 na kuunganisha mashamba baada ya mashamba 1 hadi hakuna nafasi iliyobaki, 2 nanyi mnaishi peke yenu katika nchi. 1
Jeremiah 26:18“Mika Mmoreshethi alitoa unabii katika siku za Hezekia mfalme wa Yuda. Akawaambia watu wote wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “ ‘Sayuni italimwa kama shamba, 2 Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto, 1 na kilima cha Hekalu kitakuwa kichuguu 2 kilichofunikwa na vichaka.’
Micah 3:12Kwa hiyo kwa sababu yenu, 2 Sayuni italimwa kama shamba, 1 Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto, 2 na kilima cha Hekalu 1 kitakuwa kichuguu 2 kilichofunikwa na vichaka.