Ayubu 3:14
pamoja na wafalme na washauri wa dunia, 2 waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
With kings and counsellors of the earth, which built desolate places for themselves;
In Context
13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. 2 Ningekuwa nimelala na kupumzika 1
15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, 2 waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 1
Cross References
1 Kings 11:43Kisha Solomoni akalala pamoja na baba zake, naye akazikwa katika mji wa Daudi baba yake. Naye Rehoboamu mwanawe akawa mfalme baada yake.
Job 15:28ataishi katika miji ya magofu, 2 na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, 2 nyumba zinazokuwa vifusi. 1
Psalms 49:6wale wanaotegemea mali zao 2 na kujivunia utajiri wao mwingi? 1
Psalms 89:48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo, 2 au kujiokoa mwenyewe kutoka nguvu za kaburi? + 89:48 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1
Isaiah 5:8Ole wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba 2 na kuunganisha mashamba baada ya mashamba 1 hadi hakuna nafasi iliyobaki, 2 nanyi mnaishi peke yenu katika nchi. 1
Isaiah 14:18Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima 2 kila mmoja katika kaburi lake. 1