Ayubu 15:33
Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, 2 kama mzeituni unaodondosha maua yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall shake off his unripe grape as the vine, and shall cast off his flower as the olive.
In Context
32Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, 2 nayo matawi yake hayatastawi. 1
Cross References
Isaiah 33:9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1