Isaiah 33:9
Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10“Sasa nitainuka,” asema Bwana. 2 “Sasa nitatukuzwa; 2 sasa nitainuliwa juu. 1
Cross References
Deuteronomy 3:4Wakati huo tuliteka miji yake yote. Hakuna mji hata mmoja kati ya ile sitini ambao hatukuuteka, yaani eneo lote la Argobu, utawala wa Mfalme Ogu katika Bashani.
Song of Solomon 2:1Mimi ni ua la Sharoni, 2 yungiyungi ya bondeni. Mpenzi 1
Isaiah 2:13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, 2 na mialoni yote ya Bashani, 1
Isaiah 14:8Hata misunobari na mierezi ya Lebanoni 2 inashangilia mbele yako na kusema, 1 “Basi kwa sababu umeangushwa chini, 2 hakuna mkata miti atakayekuja kutukata.” 1
Isaiah 24:4Dunia inakauka na kunyauka, 2 dunia inanyongʼonyea na kunyauka, 2 waliotukuzwa wa dunia wananyongʼonyea. 1
Isaiah 35:2litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1